WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wananchi waliokumbwa na adha ya mafuriko nchini waendelee kuwa watulivu wakati Serikali ikiendelea kuratibu utoaji wa misaada kwenye maeneo yaliyoathirika. “Barabara ya Mkongo hadi Utete na ile ya kutoka Mloka Mkongo zote zimeathirika. Tunafanya kazi ya kurejesha mawasiliano ili wananchi waweze kupata huduma muhimu,” amesema. Waziri Mkuu ametoa wito huo
READ MORE- Habari, Kitaifa
- April 16, 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 16, 2024 amewasili Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro ambapo atakagua athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo ya Taweta, Masagati, Utengule na Malinyi. Pia Mheshimiwa Majaliwa atazungumza na wananchi waliothirika na mafuriko hayo. Aidha, Mheshimiwa Majaliwa pia ataelekea Wilaya ya
READ MORE- Dini, Habari, Kitaifa
- April 10, 2024
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Sala ya Eid El Fitr iliyofanyika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 10 Aprili 2024. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuikaREAD MORE